Machapisho

KIKOKOTOO

Picha
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli amefanya mkutano Ikulu jijini Dar es salaam na wawakilishi wa wafanyakazi wa umma na sekta binafsi juu ya Kikokotoo cha mafao ya mstaafu.  Katika mkutano huo rais Magufuli amesema "mtu aliyetumikia taifa hadi kustaafu bila kufukuzwa anastahili pongezi kubwa hivyo lazima aheshimiwe" Mhe. Rais amesisitiza kuwa kikokotoo cha 25% hata mawaziri hawatokubali baada ya ubunge wao wapewe asilimia 25, na zingine wapewe kidogo kidogo hadi mwisho. Katika kuhitimisha hoja zake Rais Magufuli ameitaka mifuko yote ya hifadhi za jamii kutumia Vikokotoo vilivyopo hivi sasa hadi kumaliza kipindi cha mpito yaani adi mwaka 2023.

KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA.

Picha
Katika tarehe hii ya Leo tunapenda kutoa shukurahi zetu kwa  familia ya baba was taiga has a kwa Mama etu kipenzi Mama aria Nyerere, kwamuongozo wake kwa aliekuwa mumewe Baba was taiga Mel. Julius Nyerere. Katika kumbukumbu hii tunapenda kukumbuka mafunzo aliyotuachia wakati was uongozi wake hasa misingi ya demokrasia katika ujenzi was taifa. Mnamo tarehe 14/10/1999 taiga lilipata mshituko kufuatia kifo cha baba was taisi. Asingekuwa Nyerere saizi penhlgine tusingekuwa na Tanzania wala tusingekuwa na kiswahili kama lugha ya taifa letu. Hivyo viongozi was nchi tunapaswa kuacha unafiki na kusimama katika demokrasia ya kweli ili kumuenzi baba was taifa.   " njia pekee ya kumuenzi marehemu ni kufuata aliyoyaaanzisha na sio kumfanyia sherehe tu " Tuungane kulinda Amani Umoja na mshikamano.