KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA.
Katika tarehe hii ya Leo tunapenda kutoa shukurahi zetu kwa familia ya baba was taiga has a kwa Mama etu kipenzi Mama aria Nyerere, kwamuongozo wake kwa aliekuwa mumewe Baba was taiga Mel. Julius Nyerere. Katika kumbukumbu hii tunapenda kukumbuka mafunzo aliyotuachia wakati was uongozi wake hasa misingi ya demokrasia katika ujenzi was taifa. Mnamo tarehe 14/10/1999 taiga lilipata mshituko kufuatia kifo cha baba was taisi. Asingekuwa Nyerere saizi penhlgine tusingekuwa na Tanzania wala tusingekuwa na kiswahili kama lugha ya taifa letu. Hivyo viongozi was nchi tunapaswa kuacha unafiki na kusimama katika demokrasia ya kweli ili kumuenzi baba was taifa. " njia pekee ya kumuenzi marehemu ni kufuata aliyoyaaanzisha na sio kumfanyia sherehe tu " Tuungane kulinda Amani Umoja na mshikamano.